MAKAMU MWENYEKITI UVCCM, SOMBI KUZINDUA WIKI YA VIJANA WA CCM

Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM, Ndugu Rehema Sombi Omary (MNEC) atazindua Wiki ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo tarehe 08 Oktoba 2026 wilayani Kalambo mkoani Rukwa.

Wiki ya UVCCM itakayozinduliwa leo na kuendelea hadi Oktoba 14 inalenga kuwakutanisha Vijana wa nchi nzima sehemu moja kupeana fursa, kubadilishana uzoefu, kujadili mustakabali wa taifa lao Tanzania na kufanyika kwa shughuli mbalimbali zinazogusa jamii pamoja na kuongeza wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi.

Aidha uzinduzi huo unaenda sambamba na maandalizi kuelekea miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi.

spot_img

Latest articles

BANDA LA DAWASA LAVUTIA USHIRIKI VIONGOZI NA WAGENI COP12

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA)...

KABUDI: VYAMA VYA SIASA VIENDELEE KUJENGA UTAMADUNI WA MAZUNGUMZO

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu,...

MWABUKUSI ATAKA BARAZA LA VYAMA KUWA NA KAMATI YA MAKOSA YA KISIASA

Na Tatu Mohamed RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amelishauri Baraza...

RASILIMALI ZA BAHARI ZATOA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA UCHUMI WA BULUU

Na Tatu Mohamed TANZANIA na nchi nyingine za Bahari ya Hindi Magharibi zimetakiwa kutumia...

More like this