Ni Yanga tena ubingwa Ngao ya Jamii

Na Mwandishi Wetu

Nyota mpya  wa Yanga, Albert Kangwanda amewapa raha mashabiki wa timu hiyo baada ya kufunga bao  lilowapa  Waanchi hao taji la  Ngao ya Jamii mbele ya watani wao wa jadi Simba kwa ushindi wa 1-0 kwenye dimba la New Amaan  Complex, Zanzibar.

Yanga inatwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya tatu mfululizo, msimu uliopita iliifunga Simba 1-0, mwaka 2024 iliifunga Azam FC 4-1.

Wanajangwani hao kwa sasa wanafikisha   mataji 10, sawa na Simba tangu michuano hiyo ilipoanzishwa mwaka 2001.

spot_img

Latest articles

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM REHEMA SOMBI (MNEC) APOKELEWA NKASI, AHIMIZA VIJANA KUUNGANISHA SIASA NA UCHUMI

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Omary (MNEC), amepokelewa kwa...

DAWASA YAPELEKA TABASAMU KUNDI MAALUM WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imehitimisha wiki ya...

TANESCO YANG’ARA TUZO ZA UMAHIRI WA MAWASILIANO KWA UMMA

📌 Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali 📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati,...

BRELA YAFUNGUA FURSA YA URASIMISHAJI KWA WADAU WA UCHUMI WA UBUNIFU ARUSHA

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya...

More like this