Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai ghasia za Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa matukio ya ghasia  yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu  Oktoba 29, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa  iliyotolewa na  na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, hatua hiyo ni kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais iliyochunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea kipindi cha uchaguzi huo, kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32.

Walioteuliwa kuunda Tume hiyo ni Jaji wa Mahakama ya  Rufani Tanzania,  Shabani Ally Lila ameteuliwa kuwa  Kamishna  na Mwenyekiti wa Tume.

Wengine walioteuliwa ni Gad Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir pamoja na Aishieli Sumari ambao wote ni Majaji Wastaafu wa Mahakama  Kuu ya Tanzania.

spot_img

Latest articles

TUNATAMANI KUWA MABALOZI WA VIPIMO – WANAFUNZI MWANZA

Na WMA - Mwanza WANAFUNZI kutoka shule mbalimbali za Msingi na Sekondari jijini Mwanza wameomba...

Msajili wa Hazina ataka mageuzi makubwa TBC

Na Mwandishi wa OTR MSAJILI wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ametaka kufanyika kwa mageuzi makubwa...

CRDB YAZINDUA UGHAIBUNI LOAN KUSAIDIA WATANZANIA WALIOPATA AJIRA NJE YA NCHI

Na Mwandishi Wetu BENKI ya CRDB imezindua rasmi huduma ya mkopo ya Ughaibuni yenye...

Ofisi ya Msajili wa Hazina kuimarisha ushirikiano na taasisi za umma za China

Na Mwandishi Wetu OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) iko katika hatua za mwisho za...

More like this