Suguye ahimiza Watanzania Kudumisha Amani na Umoja Kuelekea Sikukuu ya Pasaka

Na Mwandishi wetu

Watanzania wameaswa kudumisha amani na mshikamano kuelekea sikukuu ya pasaka ili kuupokea ufufuko wa yesu kristu kwa roho na kweli.

Wakati akitoa salamu za pasaka Askofu wa kanisa la WRC ( The word ofvReconciliation church) Askofu Nicklous Suguye amesema kuwa watanzania ni watu wenye utamaduni wa upole na kupenda amani.

Aidha ameongeza kwa kusema kuwa kama nchi tunapashwa kuwa wamoja bila kujali itikadi za kidini, kisiasa na kikabila ili kuijenga nchi iliyo na umojaLakini pia amewataka waamini kujiungamanisha na yesu kristu kwa siku zilizo baki kuanzia leo ijumaa kuu mpaka kufikia pasaka ufufuko wa yesu kristuJumatatu ya pasaka itakuwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 19 ya kanisa la WRC ( The word of Reconciliation Church) na kuwakaribisha Watanzania wote kushiriki kwa pamoja kumtukuza Mungu.

spot_img

Latest articles

RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI MRADI WA JNHPP AGOSTI 22, 2026

📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni 📌Asema...

JAJI MSHIBE ASISITIZA MAANDALIZI YA KISEKTA KATIKA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NIÑO

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...

Msajili wa Hazina, Fitch Ratings watathmini mageuzi ya taasisi za umma

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) Jumanne, Agosti 11, 2026, ilifanya...

More like this