Salmin Nchimbi ajitosa kugombea Udiwani Kata ya Mwembesongo

Na Mwandishi wetu

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya Ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa – Kuiwakilisha Chipukizi, Salmini Nchimbi amechukua fomu leo ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.

Salmini ni miongoni mwa vijana wachache waliamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.

spot_img

Latest articles

Rasmi Kocha Yanga afungashiwa virago usiku

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz. ...

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo...

More like this