Katibu wa Uchumi, Mipango na Fedha UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Hassan Ali Yasin, (kushoto) akirudisha fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge katika Jimbo la Kawe Dar es Salaam kutoka kwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni ambapo leo Julai 2,2025 ni siku ya mwisho ya kurejesha fomu.
