Kamati yatangaza uchaguzi mkuu TFF

Na Mwandishi wetu

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania imetangaza uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika Agosti 16, 2025 jijini Tanga.

Taarifa ya Mwenyekiti wa kamati hiyo, Wakili Kiomoni Kibamba imeeleza kuwa, nafasi zinazogombewa ni Rais wa TFF (nafasi moja) pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji (nafasi sita)

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, gharama za kuchukua fomu kwa nafasi ya Rais ni Sh 500,000 na nafasi za wajumbe wa Kamati ya Utendaji ni Sh 200,000.

Fomu zitaanza kutolewa makao makuu ya TFF na kwenye tovuti ya TFF kuanzia Juni 16-20, 2025.

spot_img

Latest articles

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo...

Waangalizi wa Uchaguzi watakiwa kutoingilia mchakato wa Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAANGALIZI wa Uchaguzi wa ndani na wa kimataifa wametakiwa kuzingatia sheria...

More like this