Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwasili katika kongamano la maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari duniani yanaofanyika katika hoteli ya Grand Melia Jijini Arusha.

Mapokezi hayo yameongozwa na Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na viongozi wengine.


