ALLY KAMWE  AKAMATWA NA POLISI AACHIWA  KWA DHAMANA

Na Mwandishi Wetu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe kwa dhamana baada ya kukamatwa kwa  saa kadhaa usiku wa kuamkia leo kwa madai ya kutoa kauli chafu kwa viongozi wa Serikali.

Kwa mujibu wa kamanda huyo, licha ya kuachiwa  taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zinaendelea na Kamwe atatakiwa  kuripoti Aprili 21,2025.

Kamwe alishikiliwa  na Polisi ikiwa ni siku mbili zimepite tangu adaiwe kurusha  dongo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha katika hamasa kuelekea mchezo wao dhidi ya Tabora United uliopigwa jana.

spot_img

Latest articles

Kiungo fundi Yanga kuikosa Azam

Na Mwandishi Wetu Kiungo wa Yanga Khalid Aucho atakosekana katika mchezo  wa Ligi Kuu Bara...

Kada wa Chadema amuomba msajili wa vyama vya siasa kubatilisha Baraza Kuu la chama hicho lililoketi Januari 22, mwaka huu

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga,...

GSM, EFTA zaungana kuwabeba wafanyabiashara wadogo na kati

Na Mwandishi Wetu Taasisi ya kifedha ya EFTA na GSM zimeungana kwa kusaini mkataba wa...

Usafiri Dar kwenda Mikoa ya Kusini warejea

Na Mwandishi Wetu USAFIRI umeanza kurejea katika barabara kuu kutoka Dar es Salaam kwenda...

More like this