MINZIRO NA PAMBA YAKE NAWAPIGA TU

Na Mwandishi Wetu

Timu ya Pamba Jiji chini ya Kocha Felix Minziro (Majeshi, Baba Isaya) imeendelea  kujinasua katika nafasi za chini  baada ya leo Februari 15, 2025 kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi  Kuu Bara  uliopigwa dimba la CCM Kirumba, Mwanza.

Matokeo hayo yanaifanya Pamba kufikisha alama 21 katika michezo 19,  ikipanda hadi nafasi ya nane  kutoka  ya 13 . Huo ni mchezo wa tatu mfululizo kushinda, mechi iliyopita iliifunga Azam FC 1-0 kwenye uwanja huo, kabla ya hapo ilitoka kuipiga Dodoma Jiji 1-0 ugenini.

spot_img

Latest articles

Rais Samia akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...

Hamza Johari: Tunataka kuwa Champion wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050

Na Mwandishi Wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa Ofisi ya Mwanasheria...

MRAMBA: BIASHARA YA KUUZIANA UMEME KUINUFAISHA TANZANIA

📌Afafanua kuuuza na kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchi 📌Asisitiza kununua umeme kwa...

More like this