KMC, MASHUJAA ZATESTI MITAMBO

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajia kurejea wiki hii, timu za Mashujaa na KMC leo asubuhi zimecheza mechi ya kirafiki na kutoka sare ya bao 1-1, mchezo uliopigwa dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam.

Timu hizo zipo katika maandalizinya michezo yao ya Katika Ligi Kuu ambapo Mashujaa itakuwa ugenini jijini Mbeya Februari 6,2025kucheza na Tanzania Prisons wakati KMC itacheza na Azam FC Uwanja wa Azam Complex Februari 6, 2025.

spot_img

Latest articles

Chama aipa Singida Bs ubingwa wa CECAFA

Na Mwandishi Wetu Mabao mawili yaliyofungwa na Clatous Chama yamefanikisha timu ya Singida Bs kutwaa...

Makocha Yanga, Simba waanika kinachowapa jeuri

Na Winfrida Mtoi Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kesho Septemba 16,2025, makocha wa Simba...

CAF yaipiga faini Simba, kucheza bila mashabiki

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imepigwa faini ya Dola za Marekani 50,000 (...

More like this