Banda la Dawasa lawavutia wengi siku ya Wahandisi

Na Mwandishi Wetu

WANANCHI mbalimbali wamejitokeza kwenye banda la maonyesho la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika maadhimisho ya siku ya Wahandisi Kitaifa yanayoendelea ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Katika Banda la DAWASA wadau wanaojitokeza kupata fursa ya kupata elimu mbalimbali za Mamlaka ikiwemo elimu ya huduma za maji, matumizi ya mita za malipo ya kabla (pre-paid meters), uelewa wa ankara za maji pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za watumia huduma.

Mamlaka inawakaribisha wananchi wote kufika katika Banda la DAWASA na kupatiwa huduma kwa muda wa siku mbili kuanzia leo 25.9.2025 hadi 26.9.2025.

spot_img

Latest articles

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo...

Waangalizi wa Uchaguzi watakiwa kutoingilia mchakato wa Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAANGALIZI wa Uchaguzi wa ndani na wa kimataifa wametakiwa kuzingatia sheria...

More like this