Upi upepo unaoweza kufika Tanzania,wa Wiliam Ruto au Paul Kagame?
KUNA upepo wa aina mbili unavuma katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mmoja ni ule uliomzidishia furaha Rais Paul Kagame ambaye katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini kwake Jumapili iliyopita, ameibuka na ushindi wa kimbunga wa 99% na ushei. Kagame amepata idadi ya kura nyingi kuliko alizopata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ambao aliibuka … Continue reading Upi upepo unaoweza kufika Tanzania,wa Wiliam Ruto au Paul Kagame?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed